KARIBUNI KASENYENDA - You are Welcome

Jipatie nakala yako ya kitabu kilichochapishwa na Kasenyanda 'ULIZA TU' piga simu 0783795513 au 0773959591 Jipatie nakala yako ya kitabu kilichochapishwa na Kasenyanda 'ULIZA TU' piga simu 0783795513 au 0773959591
TANGAZO: UTAFITI WA MAONI YA WANANCHI KUHUSU MATATIZO YA JAMII ZAO
KASENYENDA TANZANIA imetenga fedha kidogo kwaajili ya utafiti kando ya bonde la Ziwa Nyasa. Kwa awamu hii ya majaribio Utafiti huu unalenga wilaya ya RUNGWE, LUDEWA NA KYELA. Utafiti utajikita katika kufahamu maoni ya watu juu ya matatizo yao katika jamii zao na nini wanadhani wanaweza kufanya na wanahitaji nini toka wapi ilikutatua matatizo yao.
KASENYENDA TANZANIA inakaribisha (concept notes)
TANGAZO.pdf
Adobe Acrobat Document [178.3 KB]
Download

Kasenyenda  Tanzania – KAE Consult, is an organisation registered under Business Registration Ordinance Cap 213. It is dedicated to contributing to the setting  of Tanzanaia’s sustainable development agenda through consultancy services:

In the FIELDS of:

  • Education,
  • governance,
  • environment,
  • media and communication;

THROUGH provision of services related to;

  • training,
  • research,
  • translation,
  • dissemination of knowldge, skills and information by publishing books, newspapers etc.